SMS Messages: Blood pressure medication adherence

SMS Type Day of Message Text Message
Medicine Mondays, Thursdays and Saturdays Remember blood pressure medicine needs to be taken every day. Did you remember to take your blood pressure medicine yesterday? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free.
Kumbuka unafaa kumeza dawa ya kupunguza shinikizo la damu kila siku. Je, ulikumbuka kumeza dawa yako ya shinikizo la damu jana? Jibu 1=Ndio 2=La. SMS ni bure
Blood pressure check Wednesdays Blood pressure needs regular check-ups. Discuss the results with your doctor! Have you checked your blood pressure this month? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free.
Shinikizo la damu linafaa kupimwa mara kwa mara na kujadili matokeo hayo na daktari. Je, umepima shinikizo la damu mwezi huu? Jibu 1=Ndio 2=La. SMS ni bure
Exercise Fridays Blood pressure needs regular check-ups. Discuss the results with your doctor! Have you checked your blood pressure this month? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free.
Shinikizo la damu linafaa kupimwa mara kwa mara na kujadili matokeo hayo na daktari. Je, umepima shinikizo la damu mwezi huu? Jibu 1=Ndio 2=La. SMS ni bure

 

SMS Survey: Prior to delivery of messages

Question Type Text Message
Language screening Your pharmacy cares about the health of your heart. Please help us answer 6 Qs and get 15ksh of airtime! Reply 1= Kiswahili 2=English 3=STOP. SMS are free.
Muuzaji wako wa dawa anakutakia nafuu. Tafadhali jibu maswali 6 upate airtime ya ksh15! Jibu na 1 kuendelea na Kiswahili 2=Kiingereza 3=NAKATAA. SMS ni bure
Patient Thank you! Are you the one taking the blood pressure medicine or the caregiver of the patient taking the medicine? Reply 1=patient 2=caregiver 3=neither
Asante! ni wewe unameza dawa ya shinikizo la damu au anauguza mgonjwa ako na shinikizo la damu? Jibu 1=mgonjwa 2=muuguzi 3=si mgonjwa wala muuguzi
If not patient or caregiver We are trying to understand the needs of our patients and caregivers to provide better care for them. Thank you for your time and we hope you have a good day!
Tunajaribu kuelewa mahitaji ya wagonjwa na wauguzi wao ili kuwapa huduma bora. Asante kwa muda wako na kuwa na siku njema!
Age We are trying to understand the needs of our patients and caregivers to provide better care for them. Thank you for your time and we hope you have a good day!
Tunajaribu kuelewa mahitaji ya wagonjwa na wauguzi wao ili kuwapa huduma bora. Asante kwa muda wako na kuwa na siku njema!
Gender Thank you! What is your or the patient’s gender? Reply 1=female 2= male
Asante! Mgonjwa ni wa jinsia gani? Jibu 1=Kike au 2=Kiume?
Last blood pressure test When was the last time you or the patient received a blood pressure test? Reply 1=past 2weeks 2=past 1month 3=past 3months 4=over 3months 5=Don’t know
Mgonjwa alipimwa shinikizo la damu lini mwisho? Jibu 1=kama ni wiki 2 zilizopita 2=mwezi 1 uliopita 3=miezi 3 zilizopita 4=Zaidi ya miezi 3 zilizopita 5=sijui
Reading When was the last time you or the patient received a blood pressure test? Reply 1=past 2weeks 2=past 1month 3=past 3months 4=over 3months 5=Don’t know
Mgonjwa alipimwa shinikizo la damu lini mwisho? Jibu 1=kama ni wiki 2 zilizopita 2=mwezi 1 uliopita 3=miezi 3 zilizopita 4=Zaidi ya miezi 3 zilizopita 5=sijui
Location When was the last time you or the patient received a blood pressure test? Reply 1=past 2weeks 2=past 1month 3=past 3months 4=over 3months 5=Don’t know
Mgonjwa alipimwa shinikizo la damu lini mwisho? Jibu 1=kama ni wiki 2 zilizopita 2=mwezi 1 uliopita 3=miezi 3 zilizopita 4=Zaidi ya miezi 3 zilizopita 5=sijui
Thank you Thank you very much! That is all for now. We will be sending you gentle reminders on how to take care of your heart health. Enjoy the 15 ksh of airtime.
Asante sana! Ni hayo tu kwa sasa. Tutakuwa tukikutumia ujumbe mfupi mara kwa mara kukukumbusha kuchunga afya ya moyo wako. Tunakupa airtime ya 15 ksh!

 

SMS Survey: After delivery of messages

Question Type Text Message
Adherence Thank you! Over the past month, do you or the patient ever forget to take your medicine? Reply 1=Yes 2=No.
Asante! Je, mwezi uliopita, kuna siku mgonjwa alisahau kumeza dawa? Jibu 1=Ndio au 2=La
Exercise Over the past week, how many times did you or the patient do exercise that makes you/the patient breathe harder for 30-45 minutes? Reply 0 to 7.
Katika wiki iliyopita, Je, mgonjwa alifanya mazoezi ya dakika 30-45 ya kufanya apumue kwa nguvu mara ngapi? Jibu na kati ya 0 na 7
Blood pressure test When was the last time you or the patient received a blood pressure test? Reply 1=past 2weeks 2=past 1month 3= past 3months 3=over 3months 5=Don’t know
Mgonjwa alipimwa shinikizo la damu lini mwisho? Jibu 1=kama ni wiki 2 zilizopita 2=mwezi 1 uliopita 3=miezi 3 zilizopita 4=Zaidi ya miezi 3 zilizopita 5=sijui
Blood pressure reading Was the blood pressure normal, high, very high or low at the last reading? Reply 1=normal 2=high 3=very high 4=low 5=don’t know?
Asante! Je, mara ya mwisho kupima, shinikizo la damu lilikuwa kawaida, juu, juu sana au chini? Jibu 1=kamailikuwa kawaida 2=juu 3=juu sana 4=chini 5=sijui
Concluding message Thank you very much! Remember to continue taking your heart medicine and exercise regularly for a healthy heart.
Asante sana! Endelea kumeza dawa za shinikizo la damu na kufanya mazoezi kwa moyo wenye afya.