SMS Messages: Artemether-Lumefantrine (ACTm)

Message reminder Day and time Text Message
ACTm Dose 1 Day 0 6pm Jambo! Have you remembered to give the patient the 1st dose of malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Jambo! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha kwanza cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure.
ACTm Dose 2 Day 1 2am Jambo! Have you remembered to give the 2nd dose of malaria medicine 8 hours after the first dose? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Jambo! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha pili cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure
ACTm Dose 3 Day 1 8am Good morning! Have you remembered to give the patient the 3rd dose of malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Habari ya asubuhi! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha tatu cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure. Asante!
ACTm Dose 4 Day 1 8pm Good evening! Have you remembered to give the patient the 4th dose of malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Habari ya jioni! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha nne cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure. Asante!
ACTm Dose 5 Day 2 8am Good morning! Have you remembered to give the patient the 5th dose of malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Habari ya asubuhi! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha tano cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure. Asante!
ACTm Dose 6 Day 2 8pm Good evening! Have you remembered to give the patient the 6th dose of malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Habari ya jioni! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha sita cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure. Asante!

SMS Messages: Dihydroartemesinin-piperaquine (DHA-P)

Message reminder Day and time Text Message
DHA-P Dose 1 Day 0 6pm Jambo! Have you remembered to give the patient the 1st dose of malaria medicine? Reply 1=Yes or 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Jambo! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha kwanza cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure.
DHA-P Dose 2 Day 1 10am Good morning! Have you remembered to give the patient the 2nd dose of malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Habari ya asubuhi! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha pili cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure. Asante!
DHA-P Dose 3 Day 2 10am Good morning! Have you remembered to give the patient the 2nd dose of malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No. SMS are free. If not, please do so. Thank you.
Habari ya asubuhi! Je, umekumbuka kumpatia mgonjwa Kipimo cha pili cha dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La. Kama umesahau, tafadhali mpe. SMS ni bure. Asante!

SMS Messages: Quinine

Message reminder Day and time Text Message
Quinine Dose 1,2,3 Day 0 6pm Jambo! Please remember that the malaria medicine should be taken 3 times today-morning, afternoon and evening. Thank you.
Jambo! Tafadhali kumbuka kua dawa ya malaria inafaa kumezwa leo mara tatu-asubuhi, mchana na jioni. Asante!
Quinine Dose 4,5,6 Day 1 8am Jambo! Please remember that the malaria medicine should be taken 3 times today-morning, afternoon and evening. Thank you.
Jambo! Tafadhali kumbuka kua dawa ya malaria inafaa kumezwa leo mara tatu-asubuhi, mchana na jioni. Asante!
Quinine Dose 7,8,9 Day 2 8am Jambo! Please remember that the malaria medicine should be taken 3 times today-morning, afternoon and evening. Thank you.
Jambo! Tafadhali kumbuka kua dawa ya malaria inafaa kumezwa leo mara tatu-asubuhi, mchana na jioni. Asante!
Quinine Dose 10,11,12 Day 3 8am Jambo! Please remember that the malaria medicine should be taken 3 times today-morning, afternoon and evening. Thank you.
Jambo! Tafadhali kumbuka kua dawa ya malaria inafaa kumezwa leo mara tatu-asubuhi, mchana na jioni. Asante!
Quinine Dose 13,14,15 Day 4 8am Jambo! Please remember that the malaria medicine should be taken 3 times today-morning, afternoon and evening. Thank you.
Jambo! Tafadhali kumbuka kua dawa ya malaria inafaa kumezwa leo mara tatu-asubuhi, mchana na jioni. Asante!
Quinine Dose 16,17,18 Day 5 8am Jambo! Please remember that the malaria medicine should be taken 3 times today-morning, afternoon and evening. Thank you.
Jambo! Tafadhali kumbuka kua dawa ya malaria inafaa kumezwa leo mara tatu-asubuhi, mchana na jioni. Asante!
Quinine Dose 19,20,21 Day 6 8am Jambo! Please remember that the malaria medicine should be taken 3 times today-morning, afternoon and evening. Thank you.
Jambo! Tafadhali kumbuka kua dawa ya malaria inafaa kumezwa leo mara tatu-asubuhi, mchana na jioni. Asante!

 SMS Survey: Prior to delivery of reminder messages

Question Type Text Message
Language screening [PHARMACY] wishes you feel better soon. Please help us answer 6-8 questions and get 15ksh of airtime! Reply 1=Kiswahili 2=English 3=STOP. SMS are free.
Muuzaji wako wa dawa anakutakia nafuu. Tafadhali jibu maswali 6-8 upate airtime ya ksh 15! Jibu na 1 kuendelea na Kiswahili 2=Kiingereza 3=NAKATAA. SMS ni bure.
Age Thank you! What is the month and year of birth of the patient? Reply with mmyyyy. For example, if month and year of birth is June 1990, reply 061990.
Asante! Mgonjwa alizaliwa mwezi na mwaka gani? Jibu na mwezi na mwaka kwa mfano kama ulizaliwa Juni 1990 Jibu na 061990.
Gender Thank you! What is the gender of the patient? Reply 1=female 2=male
Asante! Mgonjwa ni wa jinsia gani? Jibu 1=Kike au 2=Kiume
If female Thank you! How many month’s pregnant is the patient? Reply with number of months.
Asante! Mgonjwa ana mimba ya miezi ngapi? Jibu na idadi ya miezi
If pregnant Thank you! How many month’s pregnant is the patient? Reply with number of months.
Asante! Mgonjwa ana mimba ya miezi ngapi? Jibu na idadi ya miezi
Blood test Thank you! Did the patient receive a blood test for malaria? Reply 1=Yes 2=No
Asante! Mgonjwa alipimwa damu kudhibitisha ako na malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La
Tablets or syrup Thank you! Did the patient buy tablets or syrup for malaria? Reply 1=tablet or 2=syrup.
Asante! Mgonjwa alininunua tembe au dawa ya kukunywa kutibu Malaria? Jibu 1=kama ni tembe au 2=ya kukunywa
If tablets Thank you! How many malaria tablets did the patient buy? Please reply with the number of tablets.
Asante! Mgonjwa alinunua tembe ngapi za malaria? Jibu na idadi ya tembe
If syrup Thank you! How many bottles of syrup did the patient buy? Please reply with the number of bottles.
Asante! Mgonjwa alinunua chupa ngapi za dawa ya kukunywa ya malaria? Jibu na idadi ya chupa.
Thank you Thank you very much! That is all for now. We will be sending you gentle reminders to take your malaria medicine. We hope you feel better soon.
Asante sana! Ni hayo tu kwa sasa. Tutakuwa tukikutumia ujumbe mfupi mara kwa mara kukukumbusha kumeza dawa ya malaria. Tunakutakia uponaji wa haraka.

SMS Survey: After delivery of reminder messages

Question Type Text Message
Adherence Thank you! How many tablets of malaria medicine did you or the patient take for each of those days? Reply with number of tablets taken each day.
Asante! Je, kwa siku, mgonjwa alikuwa akimeza tembe ngapi za dawa ya malaria? Jibu na idadi ya tembe alikuwa akimeza kwa siku.

Adherence Thank you! Do you or the patient ever forget to take the malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No
Asante! Je, kuna siku mgonjwa alisahau kumeza dawa ya malaria? Jibu 1=Ndio au 2=La
Adherence Thank you! When you (or the patient) feel better, do you (or the patient) sometime stop taking the malaria medicine? Reply 1=Yes 2=No
Asante! Je kuna wakati wewe (au mgonjwa) huacha kumeza dawa ya malaria unapopata nafuu? Jibu 1=Ndio au 2=La
Improvement Thank you! After taking the malaria medicine, do you or the patient feel better now? Reply 1=much better 2=little better 3=not any better 4=worse
Asante! Je, baada ya kumeza dawa ya malaria, mgonjwa amepata nafuu? 1=nafuu kabisa 2=nafuu kidogo 3=hakuna mabadiliko 4=vibaya zaidi
Ending message Thank you very much for your participation! If you are not feeling better by now, please visit the doctor. We hope to be able to serve you again soon.
Asante sana kwa kushiriki! Kama hujapata nafuu hadi sasa tafadhali muone daktari. Tunatumai kuweza kukutumikia tena siku zijazo.